Kadri muda unavyoenda, watu wanatambua madhara ya sigara ingawa wapo
wachache wanaopuuza Elimu itolewayo kuhusu madhara yatokanayo na uvutaji
wa Moshi wa sigara.Yapo madhara lukuki yasababishayo kifo kwa mtumiaji.Mtu asijipe moyo kwa kuwa huendelea kuishi miaka mingi tu japo
anaendelea kuvuta sigara.Hii ni kujilisha upepo.Ukweli ni kwamba muda
huo si mrefu ukilinganisha na mtu asiyetumia ingawa wote waweza kufa kwa
sababu nyinginezo.Madhara ya sigara yaweza katisha UHAI wa mtumiaji
wakati wowote kutokana na sumu nyingi zilizomo kwenye sigara.
Madhara ya sumu hizo hapo juu ni kama unavyotazama picha hizi hapa
STOP SMOKING
No comments:
Post a Comment